Christina Shusho - Shusha Nyavu Mp3 Download

Shusha Nyavu


Christina Shusho – Shusha Nyavu | Listen to brand new music song by Tanzanian gospel singer, and minister Christina Shusho performing Shusha Nyavu.

Christina Shusho – Shusha Nyavu Lyrics
YESU, alipokwisha kunena, alimwambia Simoni,
Tweka mpaka kilindini kashushe nyavu zenu.

Bwana mkubwaa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha.
Bwana mkubwa, tumefanya kazi hata tusipate kitu.

Lakini kwa neno lako, Nashusha nyavu.
Nashusha nyavu, nashushaa nyavu.
Nashusha nyavu, (Bwana kwa neno lako)
Nashusha nyavu, (Neno lako)

Also, Check out more