Obby Alpha ft Guardian Angel - Pigana Na Mungu
&

Pigana Na Mungu

Obby Alpha ft Guardian Angel – Pigana Na Mungu

Obby Alpha, a gospel recording artist from Tanzania ft Guardian Angel has dropped a brand-new song titled Pigana Na Mungu.

We are thrilled to share Pigana Na Mungu, a brand-new hit song by Obby Alpha, with you on this brand-new day.
The song Pigana Na Mungu by Obby Alpha and Guardian Angel is available for streaming, providing music lovers with an enthralling musical experience.
Feel free to share and add it to your playlist. Enjoy yourselves!

Obby Alpha ft Guardian Angel – Pigana Na Mungu Lyrics

Ukitamka laana, ila baraka kanitamkia
Yote sio mapenzi yangu
Bali kwa mapenzi yake Mungu

Maana uhai wangu ni mie
Nimemkabidhi yeye
Ukitaka kunigusa mie
Unataka kumgusa yeye

Ukinigusa kwa mema, atakubariki atakubariki
Ila ukitaka kwa mabaya, usishiriki maana sio rahisi

Maana vita yangu eeeh
Si ya mwili bali ni ya rohoni
Tena sipigani mimi eeeh
Anayenipigania Mwokozi hivyo

Siwezi pigana / shindana na we 
nanyosha mikono juu
Basi pigana na Mungu
Basi shindana na Mungu

More from VumaMuzik

1 Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *