Mbosso - Umechelewa

Umechelewa


Mbosso – Umechelewa

Supertalented Bong Flava singer Mbosso dishes out a new love song “Umechelewa”.

Mbosso – Umechelewa Lyrics

Ulikuwa wapi wakati nalia lia na mapenzi
Ulikuwa wapi wakati silali nakosa usingizi
Ulikuwa wapi wakati nashindwa kula chakula
Ulikuwa wapi mbona umechelewa